Neym
Nilikufuata huku nalia ah
Kutaka wako msamaha baby
Ila we ukanichunia ah
Si ulitaka mi ni dead (iih)
Ulitingisha kiberiti tititi tititi
Mi ndo nisha ku delete tititi tititi
Niko gado niko fiti tititi tititi
Eeh nadundika tititi tititi
Nasema ushachukua noma
Niache toka hapa
eh, eh kwenda weh
Niache toka hapa
We bwana ushachukua noma
Niache toka hapa
eh, eh toka weh
Niache toka hapa
Kulikoni weh usinipigie simu
Niko zangu na bebi unatukata stimu
Jieshimu weh usijitie ndimu
Hebu niache kidogo napewa vitu adimu
Nabembelezwa kama Marlow (Marlow)
Nami nampikia masalooh
Dume la shoka si baro baro (baro)
Nami nampitisha kwa mtaro
Ulitingisha kiberiti tititi tititi
Mi ndo nisha ku delete tititi tititi
Niko gado niko fiti tititi tititi
Eeh nadundika tititi tititi
Nasema ushachukua noma
Niache toka hapa
eh, eh kwenda weh
Niache toka hapa
We bwana ushachukua noma
Niache toka hapa
eh, eh toka weh
Niache toka hapa