Heh, the melanin queen
Ruby baby, baby, baby, baby, eh
Eti penzi si nguo, hasa ya nini tuazimane
Nililishika pindo sina budi kuachia
Kikulacho kinguo, hasa ya nini tukinzane
Mapenzi magube gube, yakikusibu utaachiaa
Unayajua mapenzi ya kidigitali
Ukipenda leo kesho wima chali
Yanatesa vibaya, yanatesa vibaya
Utaugua hata ujikute we ngangari
Ukipenda leo, kesho wima chali
Yanatesa vibaya, yanatesa vibaya
Mmhh
Wasituchezeshe migulu upande
Wakatugawa upande upande
Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja
Mmh
Wasituchezeshe migulu upande
Wakatugawa upande upande
Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja (ooh)
We are, we are number, we are number
We are, we are number, we are number
We are number moja
We are number moja
We are, we are number, we are number
We are, we are number, we are number
Sisi ni number moja
Sisi ni number moja
Aah, aah
Mmh, mmh
Tabasamu hata ukose wa kumpenda mkweli
Mapenzi hayanaga siri
Najua yatakuumiiza
Tena chonde uje ukonde, utauchosha mwili
Mapenzi hayanaga siri
Yatakuumiiza
Moyo wangu kichanga, yani mwake mwake
Mwisho nizeeke kijana, yani niteseke (eeh)
Full mkasusu mwanana, mambo yente yente (eh)
Kama kopa kabana, acha nijimwage (eh, eeiih unasusaa eeh)
We cheza kama unasusa, unasusa
Unasusa, unasusa, unasusa, unasusa (ooh oh)
Wasituchezeshe migulu upande
Wakatugawa upande upande
Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja
Mmh
Wasituchezeshe migulu upande
Wakatugawa upande upande
Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja (ooh)
We are, we are number (wayo wayo wayo)
We are number
We are, we are number
(Wayo, wayo, wayo hoo, better tell them you're number one)
We are, we are number
(We be number one, yelelelele)
We are, we are number, we are number
We are we are number, we are number
We are number moja, we are number moja
Wasituchezeshe migulu upande
Wakatugawa upande upande
Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja (ooh)
We are, we are number, we are number
We are, we are number, we are number
We are number moja
Sisi ni number moja
We are, we are number, we are number
We are, we are number, we are number
We are number moja
Sisi ni number moja