Yeah
The melanin queen, yeah
Bomboclat
Mmh
Hivi tuseme alijisahau
Ama alijiona ameshapanda dau
Maneno maneno ya nahau
Yakazidi, na mi mtu sio nyau
Hakujua nini tofauti
Baina ya mjinga na mpole
Ooh hadi saluti
Nikapiga nikisema sorry
Kukuombea mema ni uongo
Walahi nakuombea upate chongo
Ada ya mja hunena
Ungwana ni kitendo tuu
Hadhi yangu kubwa sana mimi
Siwezi kuwa mdondoo
Hatuwezi kulingana
Kauli hata matendo tu
Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo
Bye bye, bye bye
Bye bye, mwanakwenda bye bye
Bye bye, bye bye
Bye bye, mwanakwenda bye bye
Bye bye, bye bye
Bye bye, hunidau bye bye
Bye bye, bye bye
Bye bye, sikudai bye bye
oh, oh, bye bye mwanakwenda ah
ah, ah, sikatai nilikupenda ah
Uoga wa kunguru, kuzilinda mbawa zake
Kikubwa uhuru, tajili na mali zake
Hello from the other side and I feel so bad
Kukuombea mema ni uongo
Walahi nakuombea upate chongo
Ada ya mja hunena
Ungwana ni kitendo uuh
Hadhi yangu kubwa sana mimi
Siwezi kuwa mdondoo
Hatuwezi kulingana
Kauli hata matendo tu
Kwaheri ya kuonana leo nalivua pendo
Bye bye, bye bye
Bye bye, mwanakwenda bye bye
Bye bye, bye bye
Bye bye, mwanakwenda bye bye
Bye bye, bye bye
Bye bye, sikudai bye bye
Bye bye, bye bye
Bye bye, hunidai bye bye
Mamacita, te quiero tocar mi amore!