Shemeji mrudie mwana (salaam)
Shemeji (chibiii si wanapenda kubang) mrudie mwana
Shemeji mrudie mwana (oya shem kama shem)
Shemeji mrudie mwana
(Shem kama shem) oya shem kama shem
(Shem kama shem) utatutoa roho (enhee)
Shem kama shem (chibii), utatutoa damu
Shem kama shem we ndo copy ya mama mkwe (copy ya mama mkwe)
Sio kwa Dada tu unapendwa na baba mkwe (unapendwa na baba mkwe)
Kwanza Shem juzi kwa kikao kikuu, aliejadiliwa ni wewe tu
Mashemeji wote tumekubaliana mwanetu akuchore tattoo
Shemeji mrudie mwana (oya shem kama shem)
Shemeji mrudie mwana (shem kama shem)
Oya shem kama shem (shem kama shem), utatutoa roho (enhee)
Shem kama shem, utatutoa damu
Shem ndoa soon tunakuja na posa (kuja na posa)
Fanya urudi home mwana tutamkosa huyu (tutamkosa)
Kwanza shem wahuni tumemiss pishi lako
Sisi sote tupo upande wako
Sio Semeni wala Ashura hakuna wakurithi kiti chako
Ebu rud nyumbani
Shemeji mrudie mwana (oya shem kama shem)
Shemeji mrudie mwana (shem kama shem)
Oya shem kama shem (shem kama shem), utatutoa roho
(Shem kama shem) shem kama shem (enhee), utatutoa damu
Oya shemeji la Dunia We mke wetu miaka mia (shem lake)
Mi si nakwambia apo tunaoa na tumepania (shem lake)
Una nyota kali sana mwanetu anakutafakar sana (shem)
Nakuchana Couple yenu itafika mbali sana (shem)
Shemeji mrudie mwana (oya shem kama shem)
Shemeji mrudie mwana (shem kama shem)
Oya shem kama shem (shem kama shem), utatutoa roho (enhee)
Shem kama shem (gachi B), utatutoa damu