Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA

Letra de la Canción "Wale watu" de Khadja Nin | BooMusica 2025

Varios-artistas

Indie Disco

Varios-artistas

Carnaval Kids

Varios-artistas

Top Hits Cristiana

Varios-artistas

Neo Corridos

Artist profile picture

Wale watu

Khadja Nin

Mbali ya ma inchi yote
Mbali ya Paris au Roma
Kuna watu masikini
Hawa liye hawa ombe
Wana itika tu vile
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala
Njo vile... kila siku


Waca ile maneno ya bule
Usiji liliye hali yako
We haujuwe umasikini
Hangaliya wale watu
Hawa liye hawa ombe
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala


Waca kabisa
Kuwaza kama weye
Haupashwe kujuwa
Mayisha yao
Juwa na siye
Siye mbali yao
Tuna weza kuwasayidiya
Kila siku

Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA