Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA

Letra de la Canción "Like an Angel" de Khadja Nin | BooMusica 2025

Varios-artistas

Encanto

Varios-artistas

2023 Latin

Varios-artistas

Film Classics

Varios-artistas

Top Hits 1985

Artist profile picture

Like an Angel

Khadja Nin

analiya disiwe
mume wake
ajali haina kinga
wala kafara


anaenda kijana
maladi inamushinda
ana aca bibi
na mutoto mudogo
mwanaume
analala kimya
like an angel


mbele ya kufunga maco
alimwambiya:
"bibi yangu unisamehe
ju sina mali
ya kukuaciya
mungu akulinde
like an angel"


mawa ju kijana ule
anaenda huruma
mawa oh ! maliyo !


sheria ya mungu mama
hayijulikane
ajali haina kinga
wala kafara :
"kwaheli
mpenzi wangu
wende salama
lala...like an angel
like an angel"

No se encontró el video para "Like an Angel Khadja Nin".
Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA