Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA

Letra de la Canción "Embargo" de Khadja Nin | BooMusica 2025

Varios-artistas

Exitos Con Madre

Varios-artistas

Top Hits 1979

Varios-artistas

Reggae Latino

Varios-artistas

Clasicos del Vallenato

Artist profile picture

Embargo

Khadja Nin

leo nasaili
ju mimi sikuelewa mambo yale
unasema embargo
ni njiya ya kuleta amani kwangu
kwa vile naona
ni watu wanahangayika bure
unisamehe sana
ju mimi sione uzuri wake
bwana mukubwa
uje inazimiya
watu wanakufa na njala
wanatesera
inci inazimiya
inakosa dawa na cakula
ni amani gani
inaleta njala na maladi
bwana mukubwa
uje inazimiya
watu wanakufa na njala
wanatesera

Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA