Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA

Letra de la Canción "Bwana C." de Khadja Nin | BooMusica 2026

Varios-artistas

Musica para Leer

Varios-artistas

Top Hits 2023

Varios-artistas

Neo Soul Hits

Varios-artistas

OMGirls

Artist profile picture

Bwana C.

Khadja Nin

Mayisha yangu wewe
Aca niku imbiye
Ujuwe kama
Tangu nimeku ona
Nakupenda nakupenda wewe


Hakuna duniyani
Mapendo zayidi iyi
Najuwa kama
Hayi wezekane
Nakupenda nakupenda wewe


We bwana wa ungine
Sikuwa najuwa yangu
Mapendo ya vile
Kweli nime jaribu
Kukusahabu wewe bwana
Alakini mama ... siweze


Usini one mubaya
Sinta ku ingiliya
Mapendo yangu
Ita baki inje
Nakupenda nakupenda wewe


Aca niku imbiye


Mayisha yangu wewe
Waca niji imbiye
Ata kama wewe
Huweze nipenda
Nakupenda nakupenda ...
We Bwana C.
Wewe Bwana C.
Wewe Bwana C.
Wewe Bwana C.

Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA