Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA

Letra de la Canción "944148" de Hinos De Paises | BooMusica 2026

Varios-artistas

Indie Party

Varios-artistas

Viaje con Calma

Varios-artistas

Pop Party

Varios-artistas

Throwback Pop

Artist profile picture

944148

Hinos De Paises

Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake

Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika

Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake

Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania

Inicio Top Música Bad Bunny Música Cristiana Taylor Swift Ed Sheeran Luis Fonsi Ozuna Daddy Yankee J Balvin Maluma DMCA